A day in the life of a hardworking Kenyan.

“uvivu ni adui mkubwa wa ujenzi wa taifa kwani nicho kiini hasa kisababishacho njaa, ewe ndugu yangu wee,amka kumekucha, kamata jembe na panga, twende shamba.Hata wewe mwanangu amka kumekucha, kwani hizi ndizo saa, za kwenda shule. Hata wewe Karani amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kwenda kazi….” This is a song that I grew … More A day in the life of a hardworking Kenyan.